Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya..Rais magufuli Amuongezea Nguvu Makonda.

Katika kuhakikisha Dawa za kulevya zinatokomezwa kabisa hapa Tanzania, Rais Magufuli amemuongezea nguvu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwa kuteua kumteua Bwana Rogers William Sianga kuwa kamishna Mkuu wa Mamlaka ya kuzuia na kupambana na Madawa ya Kulevya (Drug Control and enforcement Authority), Kama inavyoainishwa hapa Chini katika barua hii….
Seebait.com 2017SeeBait

No comments: